Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimu mpya, kanuni mpya za Mfungaji Bora

Top Scorer Ligi Kuu Msimu mpya, kanuni mpya za Mfungaji Bora Ligi Kuu

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipengele kwenye kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara kutafuta mfungaji bora ikitokea wachezaji wamelingana magoli.

Goli lisilo la Penati - Point 2

Goli la Penati - Point 1

Ikitokea wote wana magoli ya penati zitahesabiwa points kama unavyoona hapo juu,

It means mwenye magoli mengi ya penati atakosa tuzo ya ufungaji bora..

Atakuwa na points chache Zaidi ya mwenzake, Je unadhani kwa vigezo hivi nan ataibuka mfungaji Bora?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: