Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimpe sana sifa Karabaka, mtampoteza - Mchambuzi

Saleh Kikuya.jpeg Msimpe sana sifa Karabaka, mtampoteza - Mchambuzi

Tue, 2 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hizi sifa wanazowapa ndizo zinazowatengenezea presha kubwa kutoka kwa mashabiki, huyu Salehe Karabaka ni mchezaji mdogo (23) ametoka klabu ndogo inabidi akue na azoee mazingira kidogo kidogo.

Hata wachezaji waliofanya mambo makubwa hawajapita njia kama hizi. Hizi motivation unaweza kumpoteza kwa sababu matarajio yanakuwa makubwa

Kama unaingia na kuanza kufanya makubwa ni vizuri lakini wengi wanaanza taratibu baadae ndio wanakuwa bora zaidi.

Hawa wasemaji wa hizi Klabu wakisema huu ni mchana usiamini inabidi utoke nje uchungulie

Mchambuzi Master Tindwa Via CloudsFM.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live