Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC, Novemba 3

MSIMAMO NOV Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) baada ya mechi za jana Nov 2

Wed, 3 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2021/2022 imeendelea siku ya jana, Novemba 2 kwa michezo miwili.

Ligi hiyo kwa sasa imefikia hatua ya raundi ya tano, huku vilabu vichache vikiwa vimecheza michezo minne.

Yanga ndio kinara kwa sasa akiwa na alama 15, baada ya kushuka dimbani michezo mitano.

Timu ya Tanzania Prisons wanaburuza mkia wakiwa na alama moja baada ya kushuka dimbani mara nne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live