Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi kuu Tanzania Bara leo Oktoba 4

Msimamo TPL Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya mechi za mzunguko wa pili

Mon, 4 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea mwishoni mwa juma liliopita na hatimaye mzunguko wa pili umekamilika, huku kila timu ikiwa imeshuka dimbani michezo miwili.

Timu ya Polisi Tanzania ndio inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama sita (6) baada ya kushinda michezo yake yote miwili.

Geita Gold, wageni wa Ligi kuu ndio timu pekee ambayo imepoteza michezo yake yote miwili na kujikuta inaburuza mkia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live