Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi kuu Tanzania Bara

TPL Table Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Sat, 2 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/2022 ilianza rasmi Septemba 27, na mapaka kufikia hii leo Oktoba 2 tayari kuna timu zimeshaanza mzunguko wa pili.

Simba, Dodoma Jiji, Biashara na Ruvu Shooting tayari wameshacheza michezo miwili kila mmoja huku mpaka sasa Simba ndio kinara wa Ligi akishuka dimbani mara mbili na kujikusanyia alama 4.

Msimamo huu ni baada ya mechi mbili za jana jioni, Oktoba 1, hata hivyo Ligi hiyo itaendelea leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live