Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi Kuu NBC Disemba 7

Msimamo Dissemba 7 Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) leo Disemba 7

Tue, 7 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara imeingia hatua ya mzunguko wa nane na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Juma.

Yanga bado kinara akiwa nafasi ya kwanza na alama zake 19 baada ya kucheza michezo sana, nafasi ya pili inakamatwa na bingwa mtetezi Simba wenye alama 17 nao wakiwa washacheza michezo 7.

Mtibwa bado anaburuza mkia akiwa na alama zake 2 huku juu yake akiwa ni Geita Gold wenye alama 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live