Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi Kuu NBC Disemba 6

Msimamo Dec 6 Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) leo Disemba 6

Mon, 6 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 inaingia hatua ya mzunguko wa nane ambao utakamilika mwishoni mwa Juma hili.

Yanga bado anaongoza msimamo wa Ligi akiwa kileleni na alama zake 19 akiwa ameshacheza michezo 7, akifuatiwa na Simba wenye alama 17 vile vile akiwa ameshacheza michezo 7.

Mtibwa Sugar bado hali si shwari akiwa mwishoni mwa msimamo na alama zake mbili baada ya kucheza mechi 7.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live