Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi Kuu NBC Disemba 22

Dis22 Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) leo Disemba 22

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 (NBC Primia Ligi) inazidi kupamba moto, kwa namna ilivyo na ushindani kwa timu shiriki.

Mpaka sasa Yanga ndio Kinara katika msimamo wa Ligi akiwa na alama zake 23 baada ya michezo tisa akifuatiwa na Simba SC mwenye alama 20.

Mtibwa Sugar bado hali ngumu akiwa ndie anaekamata nafasi ya mwisho katika msimamo wa Ligi na alama zake saba.

Tazama hapa chini msimamo huo unavyoonekana;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live