Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi Kuu NBC Disemba 13

Round Ya 8 Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) leo Disemba 13

Mon, 13 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jana jumapili Disemba 12 Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Priimia Ligi) 2021/2022 ilikamilisha raundi ya 8.

Kwa upande wa vinara hakuna mabadiliko kwani bado Yanga ipo kileleni na alama zao 20 akifuatiwa na Simba SC.

Anaeburuza mkia kwa sasa ni Geita Gold baada ya siku ya jana Mtibwa kupata ushindi dhidi ya Biashara United.

Tazama hapa chini uone msimamo ulivyo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live