Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msimamo Ligi Kuu NBC Disemba 12

Msimamo Msimamo ulivyo wa Ligi Kuu Bara (NBC Primia Ligi) leo Disemba 12

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara, leo Disemba 12 ikienda kukamlishaha michezo ya raundi ya 8.

Msimamo wa Ligi Hiyo kwa Sasa bado Yanga ameendelea kuwa kinara kwa kukaa kileleni akiwa na alama zake 20, baada ya kucheza michezo 8.

Mabingwa watetezi Simba SC wanakamata nafasi ya Pili wakiwa na alama zao 18 nao wakiwa wameshacheza michezo 8.

Mtibwa Sugar wanaendelea kuburuza mkia wakiwa na alama 2, baada ya kucheza michezo Saba, huku juu yake kidigo wakiwepo Geita Gold wenye alama tano wakiwa wameshacheza michezo nane.

Tazama hapa chini Jedwali la Mismamo wa Ligi Kuu, 2021/2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.live