Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msigwa: Nimechoka kukaa na hela za goli la Mama

Msigwa Gerson Cef47d4fc585 780x470 1.jpeg Msigwa: Nimechoka kukaa na hela za goli la Mama

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amedai kuwa amechoka kukaa na pesa za Mhe. Rais Samia Suluhu ambazo ametoa kama zawadi kwa ajili ya ‘klabu’ ya Simba na Yanga pindi wakishinda katika mashindano ya ‘klabu’ Bingwa Afrika.

Katibu huyo ameyasema hayo baada ya ‘timu’ hizo mbili siku ya jana kutoka bila ushindi ambapo jana ‘klabu’ ya #Yanga ilicheza na #Al ahly na kutoka sare, lakini pia kwa upande wa #Simba ambao walicheza dhidi ya ‘klabu’ ya #JwanengGalaxy walitoka bila bila.

Msigwa ameeleza kuwa hapendi kurudi na pesa kila siku lakini anafahamu kuwa hayo ni mashindano hivyo amewapa moyo wachezaji wa ‘timu’ zote waongeze jitihada katika michezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live