Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshambuliaji wa Mtibwa afungiwa na kupigwa Faini

Ilanfya Charles Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya Tsh. 500,000 kwa kosa la kumpiga ngumi mchezaji wa Dodoma Jiji wakati wa mchezo wa Mtibwa Sugari dhidi ya Dodoma Jiji.

Tukio hilo lilikemewa na wengi hasa baada ya vipande vya video kusambaa vikionesha tukio hil.

Soma hapa chini kwa kirefu taarifa ya Bodi ya Ligi;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live