Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshambuliaji wa Kenya Michael Olunga namba zinaongea

Mshambuliaji Wa Kenya Michael Olunga Namba Zinaongea Mshambuliaji wa Kenya Michael Olunga namba zinaongea

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unapozungumzia kuhusu washambuliaji wanaofanya vizuri kutoka katika ukanda huu wa Afrika Mashariki huwezi acha kumtaja Michael Olunga na anaweza akawa anaongoza katika eneo hilo.

Olunga Ni mshambuliaji wa kimataifa kutoka Kenya miaka 30 hivi sasa. Amebakiza magoli 6 kuwa Mfungaji bora wa timu ya taifa la Kenya Harambe Starts ili Kumzidi William Ouma mwenye magoli 35, Olunga akiwa amefuga magoli 29 ndani ya Harambee Stars.

Msimu huu katika Ligi kuu ya Qatar akiwa na Club yake ya Al Duhail amefunga magoli 11 katika michezo 13 aliyocheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live