Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mshahara wa Mbappe kufuru Real Madrid, kulipwa Bilioni 42.4

Mbappe X Benzema Jezi Kylian Mbappe

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kylian Mbappe amekamilisha taratibu zote za usajili za kujiunga na Real Madrid akitokea PSG.

Kwa mujibu wa ripoti, Mbappe atakuwa akilipwa mshahara wa €15m kwa mwaka sawa na Tshs Bilioni 42.4

Mbali na mshahara, Mbappe atalipwa bonasi ya usajili ya €100m sawa na Tshs Bilioni 283 ambayo kila mwaka atalipwa €20m (Tshs Bilioni 57) kwa kipindi cha miaka 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live