Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mserbia ampa Nabi siri ya Ushindi Oktoba 23

Papic Photos Aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha Yanga, Kostadin Papic

Wed, 19 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha Yanga, Kostadin Papic amempa mbinu kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi kuwachezesha wazawa kuliko nyota wa kigeni.

Kikosi cha Yanga tayari kimeanza maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba, Oktoba 23 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumzia Dabi hiyo ya Kariakoo, Papic amesema mchezo huo utakuwa mgumu lakini timu bora ndio itakayopata matokeo.

“Safari hii nitashuhudia mchezo huo kwenye TV sitoenda uwanjani, naamini timu bora ndio itapata ushindi kwani sio mzuri sana kutabiri.

“Ningependa kumshauri kocha Nabi achezeshe sana wachezaji wazawa kuliko wale wa kigeni kwenye mchezo huo wa dabi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live