Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msemaji Tabora United amtolea uvivu Jemedari Said

Mwagala Jemedar Fgsd Msemaji Tabora United amtolea uvivu Jemedari Said

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya post ya Jemedari Said kuhusu CEO wa Tabora kujiuzulu msemaji wa timu hiyo amemjia juu kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Nafikri wewe kibabu Jemedari Said kunakitu unakitaka ndani ya klabu yetu ya Tabora muda sio mrefu utakwenda kukipata. Ila kwa kukusaidia kaa mbali kabisa na hii timu.

"Tabora sio sehemu ya kufuga machawa. Sasa nakuonya kwa mara nyingine kaa mbali na hiii Timu. Mimi siongei sana na watu wapumbavu, isipokuwa nakuonya kwa mara nyingine tena kaa mbali na Tabora united"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live