Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii aliyeimaba Tabulele kuongeza hamasa Yanga

Ally Kamweoct 7 Msanii aliyeimaba Tabulele kuongeza hamasa Yanga

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ally Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC, amethibitisha msanii aliyeimba wimbo ya Tabulele ambayo imekuwa maarufu hapa Tanzania hivi karibuni atatua Tanzania Jumatano akitokea Congo na atapata nafasi ya kutumbuiza kwenye hamasa za Yanga kuelekea mchezo wa Jumamosi.

Ally Kamwe, Afisa Habari wa Yanga SC, amethibitisha msanii aliyeimba wimbo ya Tabulele ambayo imekuwa maarufu hapa Tanzania hivi karibuni atatua Tanzania Jumatano akitokea Congo na atapata nafasi ya kutumbuiza kwenye hamasa za Yanga kuelekea mchezo wa Jumamosi. Yanga watakuwa na kibarua kigumu zaidi cha mechi ya pili ya Hatua ya Makundi dhidi ya Al Ahly mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live