Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msaidizi wa Ten Hag kupewa Ajax

Msaidizi Wa Ten Hag Msaidizi wa Ten Hag kupewa Ajax

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ajax huenda ikafanikiwa kumsajili meneja msaidizi wa Manchester United Mitchell van der Gaag kurejea katika klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Maurice Steijn aliye fukuzwa hapo Jana mara baada ya muendelezo wa matokeo mabovu ya timu hiyo

Ajax huenda ikafanikiwa kumsajili meneja msaidizi wa Manchester United Mitchell van der Gaag kurejea katika klabu hiyo kuchukua nafasi ya kocha Maurice Steijn aliye fukuzwa hapo Jana mara baada ya muendelezo wa matokeo mabovu ya timu hiyo Ajax haijashinda Mchezo wowote chini ya Maurice Steijn na kuipelekea timu hiyo kuwa kwenye Hali mbaya toka kuanzishwa kwakwe wakiwa katika Nafasi ya 17 wapili kutoka mwisho kwenye msimao wa Iigi kuu ya Uholanzi Maarufu kama Eredivise.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live