Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msafara wa watu 50 kuwafuata Red Arrows Zambia (+Video)

Simba Safari Simba Sports Club inahitaji sare kupita hatua hiyo

Fri, 3 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, inaondoka asubuhi ya leo kuwafuata Timu ya Red Arrows nchini Zambia.

Simba watacheza na Red Arrows katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Simba inaongoza kwa magoli 3-0, ushindi uliopatikana kwa Mkapa Jijini Dar es Salaam, Novemba 28.

Msikie Kaimu Afisa Habari wa Simba;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live