Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msafara wa Kikosi cha Simba kuelekea Morocco, wakwama Arusha

Simba Wakwama Arusha.jpeg Msafara wa Simba ulikwama Jijini Arusha

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msafara wa kwanza wa Simba ulioondoka jana jioni Dar es Salaam kwenda Morocco kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika dhdi ya wenyeji Raja Casablanca Aprili 1 umelazimika kuishia Arusha.

Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema hiyo imetokana na ndege waliyokuwa wanasafiria kupata hitilafu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana jioni.

Matokeo yake utaanza safari leo Machi 29.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live