Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrundi wa Pili baada ya Ntibazonkiza atua Ligue 1

Mrundi Mrundi Yousouf Nyange

Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrundi Yousouf Nyange amesaini mkataba kwa ajili ya kuitumikia klabu ya Nice ya Ufaransa mpaka mwaka wa 2027 Kwa euro milioni 10 na bonasi ya euro milioni 2.5.

Yousouf Nyange alikuwa anawindwa na timu ya Lens lakini akaamua kutimkia katika klabu ya Nice ambayo imetoa donge nono.

Anakuwa Mrundi wa pili kucheza Ligi Kuu nchini Ufaransa Ligue 1 baada ya Said Ntibazonkiza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live