Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrithi wa Wawa mambo safi Simba

Harveeee Herve Ngomo Takougoum

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili mlinzi Herve Ngomo Takougoum kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Coton Sport FC ya Cameroon.

Klabu ya Simba imeripotiwa kufikia makubaliano ya kumsajili mlinzi Herve Ngomo Takougoum kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Coton Sport FC ya Cameroon. Ngomo (26) raia wa Cameroon anakuja kama mbadala wa moja kwa moja wa Pascal Wawa aliyeachana na Wekundu hao wa Msimbazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live