Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mrithi wa Kepa Chelsea kutokea Marekani

Djordje Petrovic To Chelsea 1692642355 114512.png Mrithi wa Kepa Chelsea kutokea Marekani

Wed, 23 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwandishi Fabrizio Romano, Chelsea ipo kwenye hatua nzuri ya kukamilisha uhamisho wa kipa kutoka ligi kuu nchini Marekani kwenye klabu ya New England Revolution, Djordje Petrovic ambaye ni raia wa Serbia mwenye miaka 23.

Taarifa zinasema kipa huyo atasaini mkataba wa miaka saba na kipengele cha mwaka mmoja zaidi.

Chelsea imemtoa kwa Mkopo mlinda mlango wake raia wa Hispania Kepa Arrizabalaga kwenda Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live