Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpo! Beki Wydad aweka rekodi ya kutisha

Ayoub El Amloud Ayoub El Amloud

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kimataifa wa Morocco anayehudumu katika klabu ya Wydad Athletic Club, Ayoub El Amloud amefanikiwa kufunga goli katika mashindano yote ambayo ameshiriki katika klabu hiyo.

Siku kadhaa zilizopia alifanikiwa kufunga goli kwenge mchezo wa robo fainali ya African Football League dhidi ya Enyimba FC na kuzidi kuweka historia yake vyema.

AFL

CAFCL

FIFA Club World Cup

Arab Champions Cup

Botola Pro

Throne Cup

Ni beki gani hapa bongo unamuona anaweza kufata nyayo zake? Mtaje

Chanzo: www.tanzaniaweb.live