Sun, 12 Dec 2021
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya Mchezaji wa zamani wa Cameroon, Samuel Eto'o Fills kunyakua kiti cha Urais wa Shirikisho la Soka nchini Camerron siku ya Jumamosi Disemba 11.
Kambi ya Abdouraman Hamadou imesema kuwa kesho Jumatatu Disemba 13, 2021 watawasilisha hati katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa jana wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT) ambao ulishuhudia Samuel Eto’o akichaguliwa kuwa Rais wa FA ya Cameroon.
Kambi hiyo imesema haikuridhishwa na namna mchakato wa Uchaguzi ulivyoendeshwa mpaka mshindi akapatikana.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live