Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpiga Picha wa Yanga ala shavu mechi ya Simba vs Ahly

Frank Mpelumbe Mpiga picha wa Young Africans Frank Mpelumbe

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpiga picha wa Young Africans Frank Mpelumbe amechaguliwa kuwa mpiga picha wa meza kuu katika mechi ya leo ya African Football League kati ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly Sc Eneo hilo linatarajiwa kuwa na uongozi wa juu wa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kwa maana ya Rais Infantino na viongozi wengine wakubwa.

Tafsiri yake ni nini? Tulichozungumza kuhusu ubora wa maudhui ya Young Africans kina ukweli 100% ndani yake.

Takwimu mbali mbali zilizozungumza juu ya nguvu ya Young Africans na mvuto wa maudhui yao kwenye mitandao ya kijamii zinaakisi hiki kilichotokea.

Kuna wapiga picha wengi barani Afrika lakini pia FIFA wana uwezo wa kusafirisha watu wengi kwaajili ya kazi hiyo lakini why kijana mwenzetu? Ni ubora wa kazi yake.

Calvin Coolidge aliwahi kusema "Ukuaji wowote unategemea shughuli (kazi). Hakuna maendeleo ya kimwili au kiakili bila jitihada, na jitihada humaanisha kazi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: