Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpenzi wa Ronaldo awakataa ndugu zake

Ronaldo Mtoto Afariki Ronaldo na mpenzi wake

Mon, 9 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpenzi wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameelezea kujiweka kando na baadhi ya watu wake wa karibu (ndugu) hasa wale ambao wanajisogeza karibu yake kipindi hiki ambacho yupo ya CR7.

Mrembo huyo ameamua kujitenga nao kwa sababu walikuwa hawampi ushirikiano wakati anapambana na hali ya maisha kipindi ambacho maisha yalikuwa magumu.

Ronaldo kwa sasa amesajiliwa na Klabu ya Al-nassr ya Saudi Arabia akitokea Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live