Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpenzi afunguka Ronaldo kustaafu

Ronaldo Kustaafu Mpenzi afunguka Ronaldo kustaafu

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpenzi wa nahodha wa Al Nassr na timu ya Taifa Ureno Georgina Rodriguez amefunguka kuhusiana na suala la kustaafu kwa mshambulaji huyo aliyemaliza mwaka 2024 kwa mabao mengi duniani mwenye umri wa miaka 39.

Mpenzi wa nahodha wa Al Nassr na timu ya Taifa Ureno Georgina Rodriguez amefunguka kuhusiana na suala la kustaafu kwa mshambulaji huyo aliyemaliza mwaka 2024 kwa mabao mengi duniani mwenye umri wa miaka 39. "Cristiano, ana mwaka mwingine zaidi mbele, baada ya hapo itakuwa mwisho labda, ila sijui" alisema Gio akimjibu mwanahabari mmoja wakati wa tamasha la mitindo ya mavazi Paris wikiendi iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live