Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mpenja, Gharib Mzinga kuunguruma dabi ya Kariakoo

Mpenja Na Gharib Mpenja, Gharib Mzinga kuunguruma dabi ya Kariakoo

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watangazaji Baraka Mpenja na Gharib Mzinga ndio wanaotarajia kuutangaza mchezo wa dabi wa Yanga SC na Simba SC Jumamosi hii Aprili 20, 2024.

Watangazaji Baraka Mpenja na Gharib Mzinga ndio wanaotarajia kuutangaza mchezo wa dabi wa Yanga SC na Simba SC Jumamosi hii Aprili 20, 2024. Mchezo huo unatarajia kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar mchezo ambao unabeba hisia za mashabiki wengi wa soka nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live