Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moyes: West Ham bado haieleweki

Moyes Dfgg.jpeg David Moyes

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya West Ham ya nchini Uingereza inatajwa kwamba wanataka kuachana na Kocha wao Mkuu, David Moyes ambaye anadaiwa anawaniwa na klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi

Timu ya West Ham ya nchini Uingereza inatajwa kwamba wanataka kuachana na Kocha wao Mkuu, David Moyes ambaye anadaiwa anawaniwa na klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi Kocha wa klabu ya Lille ya nchini Ufaransa, Paulo Fonsecaa ndiye anayetajwa kurithi mikoba ya Moyes ila inaelezwa kuwa West Ham itakabiliwa na ushindani kutoka kwa AC Milan juu ya kumnunua kocha huyo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live