Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho yamkuta, afungiwa na UEFA

Skynews Jose Mourinho Anthony Taylor 6194995 Kocha wa AS Roma Jose Mourinho akimlalamikia mwamuzi

Wed, 21 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa As Roma,Jose Mourinho amefungiwa michezo minne na shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kufuatia kitendo cha kumtolea maneno makali mwamuzi wa mchezo wa fainali ya Europa dhidi ya Sevilla.

Kocha wa As Roma,Jose Mourinho amefungiwa michezo minne na shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kufuatia kitendo cha kumtolea maneno makali mwamuzi wa mchezo wa fainali ya Europa dhidi ya Sevilla. Katika mchezo huo AS Roma walipoteza mchezo wa Fainali kwa Mikwaju ya penati huku ikiwa ndio Fainali ya kwanza kwa Mourinho kupoteza katika soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live