Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho yamkuta Italia, baada ya kichapo sasa afungiwa

Jose Mourinho 3 Jose Mourinho

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amefungiwa mechi mbili na kutozwa faini ya Euro 10,000 kwenye mchezo wa ligi kuu wakati Roma ikipoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-1 na Cremonese.

Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amefungiwa mechi mbili na kutozwa faini ya Euro 10,000 kwenye mchezo wa ligi kuu wakati Roma ikipoteza mchezo kwa kufungwa mabao 2-1 na Cremonese. Katika mchezo huo Kocha huo asieishiwa vituko alioneshwa kadi nyekundu kwa vitendo vya utovu wa nidhamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live