Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho awaponda UEFA

Mourinhooo Jose Mourinho

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Roma Jose Mourinho, ameikosoa Sheria ya UEFA ambayo huzirudisha katika Ligi ya Europa baadhi ya timu zilizoondoshwa katika Ligi ya Mabingwa Kwa kusema inaharibu ubora wa Kombe hilo.

Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Roma Jose Mourinho, ameikosoa Sheria ya UEFA ambayo huzirudisha katika Ligi ya Europa baadhi ya timu zilizoondoshwa katika Ligi ya Mabingwa Kwa kusema inaharibu ubora wa Kombe hilo. Mourinho ameongeza kuwa badala ya timu hizo kuzihamishia kwenye Ligi ya Europa pindi zinapoondolewa inapaswa zirudi nyumbani kushiriki michuano mingine inayobakia nchini mwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live