Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho atamani kurudi Uwanjani

Jose Mourinho Portugal.jpeg Meneja wa zamani wa Chelsea, Man United Jose Mourinho

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho ameweka wazi kuwa atafanya kazi "popote" huku akionesha kutamani kurejea kwenye soka msimu huu wa joto.

Mourinho alitimuliwa na Roma mwezi Januari lakini sasa amethibitisha kuwa angependa kurejea kazini msimu huu wa joto, na amekataa kuondoa uwezekano wa yeye kuchukua kibarua kingine kwenye klabu za nyumbani kwao Ureno, baada ya kuondoka huko mwaka 2004 na kwenda kuinoa Chelsea kwa mara ya kwanza.

Tangu aanze kazi kama meneja akiwa Benfica, Mourinho hajawahi kukosa kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live