Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho apewa kadi nyekundu baada ya kuonyesha dharau kwa wapinzani

Mourinho Red Card Mourinho ala nyekundu baada ya kuonyesha dharau kwa wapinzani

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya timu yake ya AS Roma kupata bao la kuongoza kwenye mchezo mgumu dhidi ya FC Monza, aliwageukia makocha wa Monza na kuwaonyesha ishara ya kulia na kuwaziba mdomo,

Baadae alikula umeme (red Card) ambayo itamfanya aikose mechi ijayo dhidi ya Inter Milan.

Roma walishinda mchezo huo kwa matokeo ya (1-0) na kuwafanya kukusanya alama 3 ili kujiweka sehemu salama zaidi katika msimamo wa Serie A.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live