Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho amtolea uvivu Carragher, ampa dongo hili..!

Carragher X Mourinhooo Mourinho amtolea uvivu Carragher, ampa dongo hili..!

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jose Mourinho amemtolea uvivu mchambuzi Jamie Carragher akimvua vyeo vya ukosoaji kwa sababu hajawahi kushinda taji la EPL na hayumo kwenye orodha ya mabeki bora

“Jamie Carragher anaongea sana wakati hajawahi hata kuingia kwenye mabeki 1000 bora”

“Inakuwaje mtu ambaye hajawahi kuwa bingwa wa EPL anawakosoa watu walioshinda ubingwa”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live