Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho alishindwa kwa hawa mastaa

Mo Salah Premier League Potm Award 09112023 Mourinho alishindwa kwa hawa mastaa

Sun, 19 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jose Mourinho, amefanikiwa kujenga jina lake katika maisha yake ya kufundisha soka akipita timu kadhaa ikiwemo Chelsea, Manchester United na Inter Milan.

Mreno huyo ni miongoni mwa makocha wenye mafanikio makubwa katika kizazi chake.

Licha ya ubora wake wa kufundisha, lakini kuna baadhi ya wachezaji alishindwa kuwafanya kuwika ambapo hapa wameanishwa.

1. MOHAMED SALAH – CHELSEA

2. PAUL POGBA – MAN UNITED

3. LUKE SHAW – MAN UNITED

4. KEVIN DE BRUYNE – CHELSEA

5. ALEXIS SANCHEZ – MAN UNITED

6. DELE ALLI – TOTTENHAM

7. RICARDO QUARESMA – INTER MILAN.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live