Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho akalia kuti kavu AS Roma

Mourinho X Conte Mourinho akalia kuti kavu AS Roma

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwanzo mbaya msimu huu, Jose Mourinho huko As Roma klabu hiyo inafikiria kubadilisha kocha na kwa sasa inasemekana aliyekuwa kocha wa Tottenham Hotspur Antonio Conte huenda akarithi mikoba ya legend ambaye inaonekana nyakati zake njema huko Roma ziko kwenye wingu zito jeusi.

Baada ya mwanzo mbaya msimu huu, Jose Mourinho huko As Roma klabu hiyo inafikiria kubadilisha kocha na kwa sasa inasemekana aliyekuwa kocha wa Tottenham Hotspur Antonio Conte huenda akarithi mikoba ya legend ambaye inaonekana nyakati zake njema huko Roma ziko kwenye wingu zito jeusi. Ungekua mshauri wa klabu ungeshauri nini baina ya makocha hawa wawili nani unadhani ni bora zaidi ya mwenzake?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live