Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho aigeukia Saudi Arabia

Skysports Jose Mourinho Roma 5636976 Jose Mourinho

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa As Roma Jose Mourinho amesema kuwa siku moja atakwenda kufundisha soka nchini Saudi Arabia ikumbukwe Jose alikataa ofa ya Euro milioni 30 kwa mwaka kutoka timu ya Al Hilal ya nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live