Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho: Ureno inabeba Euro

Ronaldo X Mourinho Mourinho

Mon, 17 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Jose Mourinho ameiunga mkono Ureno kwa kusema kuwa itashinda Euro 2024 na kutoa kipigo cha pili mfululizo kwenye fainali dhidi ya England inayonolewa na Kocha Gareth Southgate.

Ureno ni timu ya nne inayopendwa zaidi nyuma ya England, Ufaransa na Ujerumani lakini Mourinho alijivuta vuta kidogo alipoulizwa na mchambuzi Rio Ferdinand nani atakuwa bingwa ndipo akajibu Ureno.

"Ureno," Mourinho alisema, kasha akaitaja England kama mshindi wake wa pili.

KUNDI LA URENO EURO

P W D L GF GA Pts

1.Uturuki 0 0 0 0 0 0 0 0

2.Georgia 0 0 0 0 0 0 0 0

3.Ureno 0 0 0 0 0 0 0 0 0

4.Czech 0 0 0 0 0 0 0 0 0

Chanzo: www.tanzaniaweb.live