Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho: Sikupewa sapoti kama Ten Hag

Mourinho Awashukuru Mashabiki Wa Chelsea Kwa Kuimba Jina Lake Jose Mourinho

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa.

Kocha Jose Mourinho anadai alipokuwa mwalimu wa Manchester United hakupewa ushirikiano kama anaoupata Erik ten Hag hivi sasa. Katika mahojiano na gazeti la Telegraph, Mourinho alilalamikia kutopewa usaidizi mkubwa wa kitaalamu wakati wa enzi zake, ambao anahisi kwasasa Ten Hag ananufaika nao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live