Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho: Nilihitaji mshambuliaji kama Lukaku

Mourinho Lukaku Mourinho: Nilihitaji mshambuliaji kama Lukaku

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jose Mourinho akimzungumza mshambuliaji Romelu Lukaku baada ya timu yake ya AS Roma kuibuka na ushindi mnono wa 7-0 dhidi ya Empoli.

“Lukaku anaonekana mwenye furaha. Anahitaji kuwa na furaha na kujisikia kupendwa. Alifika hapa na mara moja akahisi kuwa timu inamhitaji. Nadhani amefurahi sana. Anataka kushinda.

“Sidhani Inter wanapaswa kuwa na hasira, walishinda derby, wana washambuliaji wengi wenye nguvu, lazima wawe na furaha kwangu kwa sababu nilihitaji mshambuliaji kama Romelu."

Jose Mourinho ameiongoza AS Roma kuibuka na ushindi wa 7-0 dhidi ya Empoli katika mchezo wa Ligi Kuu ya Serie A.

FT: AS Roma 7-0 EMPOLI

⚽⚽ Dybala

⚽ Sanches

⚽ Grassi (og)

⚽ Cristante

⚽ Lukaku

⚽ Mancini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live