Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho: Messi alistahili Ballon D'or mbele ya Sneider 2010

Messi Sneijder Y Mourinho 1708178400.jpeg Mourinho: Messi alistahili Ballon D'or mbele ya Sneider 2010

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Jose Morinho amewajibu wale wote waliokuwa wanasema kuwa Messi hakustahili kubeba tuzo ya Ballon d'or mwaka 2010, na badala yake ilipaswa kwenda kwa aliekuwa Kiungo wa Inter Milan Wesley Sneijder.

Kocha Jose Morinho amewajibu wale wote waliokuwa wanasema kuwa Messi hakustahili kubeba tuzo ya Ballon d'or mwaka 2010, na badala yake ilipaswa kwenda kwa aliekuwa Kiungo wa Inter Milan Wesley Sneijder. "Sitaki kusema kuwa ni unyang'anyi, nani alishinda ? Messi kwa hiyo hakuna unyang'anyi".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live