Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mourinho: Ancelotti sio Kocha wa Mitandaoni

Mourinho X Don Carlo Mourinho: Ancelotti sio Kocha wa Mitandaoni

Sun, 2 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mpya wa Fenerbahce Jose Mourinho amemzungumzia Ancelotti baada ya fainali ya UEFA jana na kusema Don Carlo ni kocha halisi wa mpira na sio kocha wa mitandaoni.

Kocha mpya wa Fenerbahce Jose Mourinho amemzungumzia Ancelotti baada ya fainali ya UEFA jana na kusema Don Carlo ni kocha halisi wa mpira na sio kocha wa mitandaoni. “Huyu sio kocha wa kwenye mitandao ,ni kocha haswa ukipata nafasi ya kwenda ofisini kwake utaona idadi ya medali alizoshinda”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live