Fri, 3 Nov 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema ni jukumu lake kumtoa jela Rais wa shirikisho la soka nchini Mali (Femafoot) Mamatou Toure.
Motsepe amesema shirikisho la soka Barani Afrika CAF limekuwa likiwasiliana na mamalaka za nchi ya Mali ili kuona uwekezano wa kumtoa gerezani Rais huyo.
Mamatou Toure alihukumiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi na ufujaji pesa za Umma.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live