Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Motsepe: Kila kitu AFCON kimekamilika

Patrice Motsepe CAF Pres Rais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrick Motsepe

Sat, 13 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Patrice Motsepe amesema maandalizi yote ya Afcon 2023 yamekamilika na wao kama CAF wanatarajia fainali za mwaka huu zitakuwa bora zaidi kuliko michuano iliyopita.

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Patrice Motsepe amesema maandalizi yote ya Afcon 2023 yamekamilika na wao kama CAF wanatarajia fainali za mwaka huu zitakuwa bora zaidi kuliko michuano iliyopita. Rais wa CAF ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Abidjan, kuelekea ufunguzi wa michuano hiyo ambapo leo wenyeji Ivory Coast watafungua pazia dhidi ya Guinea Bissau.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live