Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moto wa ligi Kuu kuwaka viwanja vitatu kesho!

Moto Wa Ligi Kuu Kuwaka Viwanja Vinne Kesho! Moto wa ligi Kuu kuwaka Viwanja vitatu kesho!

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi nne za ligi Kuu za mzunguko wa 7 zinatarajia kurimbima kesho kwenye viwanja vitatu tofauti.

KMC watakuwa na kibarua kizito cha kuvaana na Tanzania Prisons katika Uwanja wa Uhuru huku Yanga SC akiwakaribisha Singida Big Stars katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar na mwisho, Azam FC atawaalika Namungo FC pale Azam Complex-Chamaz ambao wameachana na kocha wao Cedric Kaze hivi karibuni baada ya kupokea kichapo cha 3-2 kutoka kwa Singida Big Stars.

KMC alama 11 wakiwa nafasi 4 na Tanzania Prisons alama nne wakiwa nafasi ya 14 huku Yanga wao wana alama 15 wakiwa nafasi ya 1, Singida Big Stars alama 8 wakiwa nafasi 9, Azam wana alama 13 nafasi ya 3 huku Namungo wao alama 3 wakiwa nafasi ya 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live