Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moto wa Yanga wanakutana nao Morocco

Nabi Yanga Awd Moto wa Yanga wanakutana nao Morocco

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kile ambacho alikifanya Kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi akiwa na Wananchi ameendeelea kukifanya kule Morocco akiwa na FAR Rabat.

Hadi sasa FAR Rabat wanaongoza Ligi kuu ya Morocco (Botola Pro) wakiwa na alama 64 baada ya mechi 26 na tayari wameshakata tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL kwa msimu ujao.

Kocha Nasreddine Nabi anahitaji pia ushindi wa mechi 3 tu ili aweze kuwa bingwa wa Morocco msimu huu ambapo atafikisha alama 73.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live