Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moses Phiri kuungana na Dube, Joseph Guede Yanga

Phiriii Moses Phiri kuungana na Dube, Joseph Guede Yanga

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu Yanga wanawania saini ya Moses Phiri ambaye kabakisha mwezi mmoja kumaliza mkataba wake na Simba SC.

Moses Phiri ambaye yupo Power Daymos kwa mkopo ameendelea kuonesha ubora wake katika ligi hiyo.

Kabla ya kujiunga na Simba, Moses Phiri alihitajika na Yanga lakini Simba kupitia kwa Cloutus Chotta Chama alilahisisha dili hilo na kuipata saini ya Moses Phiri.

Kwa mara nyingine tena Yanga Katika kuimarisha safu ya kushambuliaji wameanza mazungumzo Na wakala wa Moses Phiri ambaye anaenda kumaliza mkataba wake hivi Karibuni na kuwa mchezaji huru.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live