Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moses Phiri awagaragaza Chama, Mzamiru Msimbazi

Moses Phiri.png Moses Phiri

Mon, 3 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Simba SC lwa mwezi Septemba, akiwashinda Viungo Clatous Chotta Chama (Zambia) na Muzamiru Yassin (Tanzania).

Mapema leo Jumatatu (Oktoba 03), Simba SC imemtangaza Mshambuliaji huyo kupitia kurasa za Mitandao ya Kijamii baada ya kukamilika kwa zaoezi la kupiga kura kupitia Tovuti ya Klabu hiyo.

“Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Septemba inakwenda kwa Moses Phiri. Hongera Phiri

Chanzo: www.tanzaniaweb.live